Nimefunga Ndoa Na Mama Mwenye Nyumba Wangu, Mapenzi Yamenoga

KAMA kijana wa kiume unajua kuna mambo yanaweza kukutokea hadi wewe mwenyewe ukawa unashangaa maana yake ni ipi hasa, ndicho nilichonikuta mimi pale ambapo mama mwenye nyumba aliponiita nyumbani na kuniambia kuwa ananitaka kimapenzi.


Naitwa Kelvin, naishi Umoja II, jijini Nairobi, ni kijana mwenye umri wa miaka 29 ambaye najishughulisha na biashara ya kuuza chips maeneo ya mjini, kutokana na mazingira ya kazi yangu nimekuwa natoka nyumbani asubuhi mapema na kurejea usiku. Hivyo nafasi ya kuwa na mwanamke ilikuwa ni ngumu ila nilitamani sana kuwa na wangu lakini kila mmoja niliyekuwa namfuata alikuwa ananikataa. Siku moja nikiwa nasoma gazeti nikakutana na tangazo la Dr. African Doctors ambalo lilieleza miongoni mwa huduma anazotoa ni pamoja na kuongeza mvuto wa kimapenzi.


Binafsi nilitamani sana kujua mtu mwenye mvuto wa kimapenzi anakuwaje, hivyo niliamua kuchukua namba yake na kumpigia. Nilimwambia kuwa nahitaji huduma hiyo, akaniambia nisiwe na wasiwasi kwani ndani ya siku tatu nitapata matokeo mazuri ajabu maishani mwangu. Basi kesho yake wakati nimerudi nyumbani nilimkuta mama mwenye nyumbani ameketi nje, aliniambia siku hiyo nisipike kwani kwake amepika chakula kingi sana, hivyo nitaenda kula kwake baada ya kuoga. Nilipomaliza kuoga nilienda kugonga mlango wake, alipokea na kuniambia siku nyingine nikitaka kuja wala nisigonge bali niingie tu.


Nilikaa kwenye sofa na akaniletea chakula, cha ajabu alikuja akaa pembeni yangu, wakati nikila akawa ananipapasa mgongoni, mara akaniomba anivue shati kwa madai joto limezidi ndani na anaona mwili wangu umechemka sana. Nilimwambia haina shida kwani namalizia kula nitatoka nje kwenye upepo. Baada ya kumaliza kula sikutaka kuendelea kukaa pale ndani, nilitoka nje huku yeye akinisistizia niendelee kuwa naye maana hana hata mtu wa kuzungumza naye. Sikujali hilo nilitoka na kwenda kwenye chumba changu na kuchukua maji nikaenda kuoga tena ili niweze kulala.


Nilipotoka kuoga nilikuta SMS yake kwenye simu akiniambia kuwa ananipenda na angependa kama nitamkubalia niwe mpenzi wake, aliomba sana nisije kumkatalia kwani yeye hajiwezi tena kwangu. Niishiwa nguvu na kujiuliza maswali mengi, nilimjibu kuwa nina mpenzi wangu tayari. Aliniambia yeye atakuwa ananipa fedha za matumizi na chochote nitakacho, kikubwa zaidi nitakuwa naishi katika nyumba yake bila kulipa kodi, hilo ndilo limenichanganya sana maana nahitaji fedha hizo. Na kweli nilimkubalia maana yeye tunaendana umri na sasa tunaishi wote katika nyumba yake, naishi kama mume silipi kodi bali mimi ndio nakusanya kodi na anaipenda sana na sasa tayari tumeona na tumejaliwa kupata mtoto mmoja. Maisha yangu yamebadilika sana, huwezi kuamini ni mimi yule wa kipindi hicho.

Ofisi yetu kuu ipo mjini Migori nchini Kenya. Tunahudumu nchini Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na DRC. Karibu.