Ndugu Wa Mume Walinikejeli Sana Kisa Sina Mtoto, Sasa Nimewafunga Midomo!

Ukweli ni kwamba tamaduni za Kiafrika kwa kiasi fulani zinawakandamiza sana wanawake pale ambapo wanaolewa na kukaa muda mrefu bila kujaliwa watoto. Ndugu, jamaa na marafiki hasa kutoka upande wa mume huanza maneno ya kejeli, kashfa, dharau na mengine mengi ya kuudhi kwenda kwa mke kisa tu hajajaliwa kupata mtoto.


Wanawake wengi ambao katika maisha yao ya ndoa walichelewa kupata mtoto, wamekumbana na hali hiyo kwa kiwango kikubwa, wengine wameshindwa kuvumilia na kuamua hata kuondoka katika ndoa zao. Mimi naitwa Mama Zainabu kutokea Muheza, Tanga naweza kusema ilisalia kidogo tu niweze kuondoka katika ndoa yangu baada ya maneno kutoka kwa ndugu wa mume; walikuwa wanadai sina faida kwa ndugu yao maana nimeshindwa kumpatia mtoto!


Jambo hilo lilitia sana uchungu moyoni mwangu, nilihuzunika sana kwani mimi mwenyewe nilikuwa na kiu sana ya kupata mtoto, nilikuwa naona wivu nikiona wanawake wenzangu wana watoto wao ila naweza kusema wakati wangu ulikuwa haujafika. Rafiki yangu, Mama Seif alikuja nyumbani kwangu kunitembelea kipindi kimoja hivi, nilimueleza changamoto hiyo ambayo nimekuwa nikipitia katika ndoa yangu.


Alinitoa wasiwasi na kuniambia yeye pia alichelewa kupata mtoto alipoolewa, alikuja kupata mtoto baada ya kutumia dawa kutoka kwa Dr. African, hivyo akaniambia nisiwe na wasiwasi kwani atanipatia namba zake. Nitapata usaidizi. Mama Seif alinipa namba za Dr. African (+254 769404965) na niliporudi nyumbani kwangu niliweza kuwasiliana naye, niliongea naye jinsi ambavyo nimekuwa nikipitia changamoto nyingi sana kwenye ndoa yangu kisa tu nimechelewa kupata mtoto.


Basi aliweza kunitumia dawa na kunipa maelekezo ni namna gani naweza kuzitumia, nilitumia dawa zile za Dr. African kwa matumaini makubwa maana Mama Seif ni mtu ambaye nimefahamiana naye miaka mingi, asingeweza kunishauri kutumia dawa ambayo sio nzuri. Nashukuru kipindi kile kile niliweza kubeba ujauzito wangu wa kwanza, wale ndugu waliokuwa wananikejeli walianza kuona aibu sana, wengine walianza kuwa karibu na mimi na kutaka tuwe marafiki. Kwa sasa mimi ni mama wa watoto watatu, Zainabu, Ally na Fatma, nashukuru maisha yangu ya ndoa sasa wamekuwa na utulivu mkubwa sana na ninaendelea vizuri pamoja na watoto wangu.


Asante sana kwa Dr. African kwa kuweza kunipatia watoto hawa, Dr. African ana uwezo wa kuwezesha kuwa mtu wa bahati maishani, ana uwezo wa kukukinga na adui zako wanaokutakia mabaya kwa wakati wowote ule kwa muda wa siku tatu utaona matokeo yake utayaona. Kwa mengi zaidi wasiliana nao.

Ofisi yetu kuu ipo mjini Migori nchini Kenya. Tunahudumu nchini Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na DRC. Karibu.